
KUHUSU USHARIKA WA RUAHA
Ukaribisho kutoka kwa Mchungaji
Wapendwa washarika, na wote mnaofatilia ukurasa huu, Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe.Napenda kuwakaribisha katika tovuti ya Usharika wa Ruaha-Dayosisi ya Ulanga KIlombero iliyoandaliwa kwa ajili Kuwahabarisha maendelo mbalimbali ya usharika, kuwapa mafundisho ya Neno la Mungu. Tutakuwa tukiweka mafundisho na mahubiri katika mtindo wa maandishi na video fupi fupi.
Mtumishi katika shamba la Bwana Yesu Kristo
Mchungaji Yusuph Akimu Mbago
Mtumishi katika shamba la Bwana Yesu Kristo
Mchungaji Yusuph Akimu Mbago
KKKT USHARIKA WA RUAHA