Picha mbalimbali za Wanawake wa mtaa wa Kristo Mfalme uliopo usharika wa Ruaha wakiadhimisha sikukuu ya wanawake Duniani

IBADA YA KUMUAGA MTHEOLOJIA Sarah Musa Kihwele.
Ibada ya kumshuukuru na kumuaga mtumishi wa Mungu Mtheolojia Sarah Musa Kihwele. Jumapili ya tar 23.02.2025