Elimu ni miongoni mwa vipaumbele vya Kanisa. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania – Dayosisi ya Ulanga Kilombero, Usharika wa Ruaha tunayo shule ya Awali na kupitia shule hii tunatoa huduma ya Malezi ya Watoto wadogo pamoja na kuwajengea msingi bora wa kujifunza na kuwaandaa vema kwenda Darasa la kwanza.
Mawasiliano:
Mwalimu Mkuu: +255 682 024436
Mkurugenzi: +255 755 343163