KKKT USHARIKA WA RUAHA
IDARA YA MISSIONI NA UINJILISTI

KUHUSU IDARA
IDARA YA MISSIONI NA UINJILISTI
Kazi ya Idara hii ni kuongoza, kusimamia, kufundisha Neno la Mungu Wakristo na kuhakikisha habari njema ya Bwana wetu Yesu Kristo inahubiriwa katika usharika.
- Malengo: Idara hii inalenga kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote. Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba injili inafika kwa kila mmoja, kuwawezesha kumjua Kristo na kumfuata. Inahusisha shughuli za uinjilisti ndani na nje ya usharika.
Majukumu:
- Kuanzisha na kusimamia shughuli za uinjilisti katika maeneo mbalimbali.
- Kuandaa na kutekeleza mikutano ya injili, semina
- Kufundisha na kuhamasisha waumini kushiriki katika uinjilisti na kueneza Neno la Mungu.
KKKT USHARIKA WA RUAHA
VIONGOZI WA IDARA YA MISSIONI NA UINJILISTI

Fadhili Sanga
Katibu Idara ya Misioni na Uinjilisti Usharika wa Ruaha

Mchungaji Yusuph Mbago
Kiongozi