KKKT USHARIKA WA RUAHA
IDARA YA WANAWAKE NA WATOTO
KUHUSU IDARA
IDARA YA WANAWAKE NA WATOTO
Idara hii inasimamia na kuimarisha ustawi wa Wanawake pamoja na kuwalea Watoto katika usharika kwa kuwafundisha Neno la Mungu ili wamjue Mungu.
Katibu wa Idara ni Bi. Rose Kambaita na Mwenyekiti ni Bi. Mervis Mwakajoka
Katibu wa Idara ni Bi. Rose Kambaita na Mwenyekiti ni Bi. Mervis Mwakajoka
- Malengo:
- Idara hii inalenga kuwawezesha wanawake na watoto kiroho na kijamii, kutoa msaada kwa wanawake na watoto katika jamii na Kanisa.
Majukumu:
- Kuandaa mikutano, semina, na makambi kwa wanawake na watoto.
- Kutoa msaada wa kiroho na kijamii kwa wanawake na watoto walio katika hali ngumu.
- Kuwezesha wanawake na watoto kutambua haki zao na kushiriki kikamilifu katika shughuli za Kanisa.
- Kuanzisha miradi inayolenga kumsaidia mtoto na mama katika jamii, kama vile elimu, afya na haki za kijinsia.

Daina Isumo
Mwenyekiti Idara ya Wanawake na Watoto Makao makuu ya Usharika

Mervis Mwakajoka
Mwenyekiti Idara ya Wanawake na Watoto Usharika wa Ruaha.

Rose Mkenda
Katibu Idara ya Wanawake na Watoto Usharika wa Ruaha.

Mwl. Vaileth Massawe
Katibu Idara ya Wanawake - Makao makuu ya Usharika.