KKKT USHARIKA WA RUAHA
IDARA YA MIPANGO NA MAENDELEO

Majukumu:
- Kupanga na kusimamia miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali ya usharika.
- Kuanzisha na kuendeleza miradi ya kijamii kama vile shule, zahanati, na nyumba za ibada.
- Kufanya tafiti na tathmini ya miradi ya maendeleo ili kuona kama inaleta manufaa kwa waumini.
KUHUSU IDARA
IDARA YA MIPANGO NA MAENDELEO
Kazi ya idara hii ni kubuni na kusimamia miradi mbalimbali iliyopo na inayoanzishwa katika usharika ili kuleta maendeleo kimwili na kiroho.
Katibu wa idara hii ni Bi. Maria Mwanjalila na Mwenyekiti ni Bw. Imani Ngao.
Katibu wa idara hii ni Bi. Maria Mwanjalila na Mwenyekiti ni Bw. Imani Ngao.
- Malengo:
- Idara hii inalenga kupanga, kusimamia, na kutekeleza miradi ya maendeleo katika usharika. Lengo kuu ni kukuza ustawi wa waumini kwa njia ya miradi ya kijamii na kiuchumi.
Majukumu: