Fellowship

Hufanyika hapa usharikani katika siku za Jumatatu, Ijumaa na Jumapili kuanzia saa 11-12 jioni isipokuwa kwa Jumapili ya mwanzo wa mwezi na mwisho ya mwezi ambapo ibada hufanyika Dayosisi na Jimbo mtawaliwa.

Muda wa Ibada


Jumatatu – Ijumaa – Saa 11-12 jioni

Jumapili  Saa 9-12 jioni

Stanley Moshi

Mwenyekiti wa Fellowship Ruaha

Issaria Temba

Katibu wa Fellowship Ruaha