MTAA WA
MZOMBE
Kiongozi wa Mtaa: Mwinjilisti Tulamuona Isaya Mhungulu: Simu +255 656 803206
Katibu wa Mtaa: Evodia Chakwe
Katibu wa Mtaa: Evodia Chakwe
KUHUSU MTAA
Mtaa upo eneo la kata ya Ruaha , kijiji cha Kifinga ,pembezoni mwa njia ya Ruaha kuelekea Mikumi , mkono wa kushoto ukitokea upande wa kijiji cha Ruaha, Mtaa huu unazaidi ya washarika 100
MTAA WA
UONGOZI NA IDARA ZA MTAA

Ev. Tulamuona Mhungulu
Mwinjilist Mtaa wa Mzombe

Imani Kibavye
Mzee wa Kanisa Mtaa wa Mzombe
Idara ya Wanawake na Watoto
Katibu: Bi. Safia Salumu
Mwenyekiti: Ania Kibavye
Idara ya E/Kikristo, Vijana
na Masomo ya juu
Katibu: Ayubu Festo