RATIBA YA UTOAJI WA SADAKA YA MAVUNO MWAKA 2026

Mithali 3:9-10a “Mheshimu Bwana kwa Mali yako na kwa Malimbuko ya Mazao yako yote; ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi”.

Tarehe 02/08/2026 Ofisi na Wazee wa Kanisa.

Tarehe 09/08/2026 Jumuiya ya Mamajusi; Jumuiya ya Yerusalemu na Jumuiya ya Upendo.

Tarehe 16/08/2026 Jumuiya ya Safina (Ruaha B); Jumuiya ya Paradiso na Jumuiya ya Yesu ni njia.

Tarehe 23/08/2026 Jumuiya ya Sayuni; Jumuiya ya Galilaya na Jumuiya ya Alfa na Omega.

Tarehe 30/08/2026 Jumuiya ya Shalom Madukani; Jumuiya ya Ebeneza (Gezaulole) na Jumuiya ya Tumaini Police.

Tarehe 06/0972026 Jumuiya ya Rehoboth; Jumuiya ya Chuo cha Sukari na Jumuiya ya Gethsemane Bank.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*