About Us

KUHUSU KKKT USHARIKA WA RUAHA

Mch. Yususp A. Mbago

Karibuni sana kwenye tovuti ya Kanisa letu! Mimi ni Mchungaji Yusuph Akimu Mbago, na ni furaha yangu kuwa na ninyi hapa. Tovuti hii ni sehemu muhimu ya kuunganishwa na familia ya Kanisa letu, kujifunza neno la Mungu, na kushiriki katika huduma zetu. Tunapenda kuendelea kuwa na ninyi katika safari yetu ya imani, na kupitia tovuti hii, tunaamini kwamba tutaweza kufikia kila mmoja wenu popote mlipo. Karibuni, na mnaweza kugundua huduma zetu, maombi, na mambo yote muhimu yanayohusu maisha ya Kanisa letu. Mungu awabariki na asanteni kwa kutembelea!
Watumishi

Uongozi wa USharika