Ujenzi wa Nyumba ya Kanisa (ya kukaa Mchungaji) hapa Usharikani.

Mtaa wa Kristo Mfalme wakiadhimisha Ibada ya Maombi ya dunia Tarehe 9.3.2025
Picha mbalimbali za Wanawake wa mtaa wa Kristo Mfalme uliopo usharika wa Ruaha wakiadhimisha sikukuu ya wanawake Duniani