Tarumbeta

Kwaya Ya Tarumbeta imekua ikitumika katika madhabahu ya KKKT Ruaha na sharika mbalimbali ndani na nje ya JImbo la Kilombero na Dayosisi ya Ulanga Kilombero